Written/composed by Kaa La Moto Kiumbe 2017
(VERSE 1)
Utaskia Mbwembwe wakiongea/kwenye anga zao.
hakuna rapper aliye bobea/kwenye mji wa Mwambao.
UkooFlani ilibuma/uhuru wachukuwe Maumau.
Cannibal, Sokoro/na maduke ya Pharouh.
hey, nilipokuja/si ilikuwa msuba kibao.
chart inatawaliwa/na ma wacky kibao.
game aihitaji moto/watakuzima dau.
sanaa imekuwa bahari/kuvuka unahitaji dau.
ku-Hit mjomba…/fika NairoBi. Mombasa hawana nyumba/wasanii wanagongea maKODi.
hawajui biashara/wanaimba kuhusu HOBBY.
wengi wazee wa ndumba/wanaishi juu ya showBIZZ.
showz za mitandaoni/halafu kwenye tamasha wapo.
wazuri wakuiga/kina Jigga na Elchapo.
shows za geti, kwa star/underground atapata nini?
studio nikija na njaa/unadhani nitaimba lini.
wimbo mkali kapuni/wanacheza maCARTOON(ni).
wako wenye jina mjini/alafu atm hazisomii.
yule mbora kwao/huku kwetu hajui kubuni.
yule anayebuni kwetu/huko kwao naskia havumi.
Click to watch SAWA.
(HOOK :X2)
Mombasa zii niende Nairobbery?………sawaa
kila show nipige na band(i)?………..sawaa
niongeze hongoo ni boost(i) kipaji?…..sawa
tafute kiki kwa dem wa mshkaji?……….sawaa
(VERSE2)
wanasema ninyamaze/nikiongea moyoni nitaumbuKA,
wazee niwaskize/nisije nikajajuTA.
mwenye swali anauliZA/nani asiye mjua NYOTA?
legend ila kwenye kunywa COKE hawajamuiTA,au kwa kuwa anatokea Mombasa/na anaimba kiswahili?
ama ni vigezo gani/vinafanya mpaka hastahili.
uliyemchukuwa ulimtumia/ukamKAMUA ukam-bania……..(talking of KIDIS)
sikuhizi hata akiimba/mashabiki wanamchunia.
MUNGU TU…./binadamu nimadongo,nani anaye kataa/chimbuko la Rap ni MAGONGO.
ulikuwa wapi/tukifuso na wakongo.leo mnaachia charti/inatawaliwa na wabongo.
mapromoter makauzi/wengi wanabania mchoNGO.bendi zimekufa/hatuendi Mazeras na baNGO…..(talking of our Legendary Mzee Ngala )
lipa audio na video/nausisahao kulipa Hongo.
kuna tetesi dada/hajasahao kupinda hata mgongo.
mwanangu talanta tu…/hufiki aliko AKOTHEE.
ukiona dada ni star/ujue nyuma ana peteDZEE……talking of sponsors
(HOOK:X2)
nikibana pua mtanipokea wanangu?…..sawaa
hivi kutoka nirudi kwa babu?………sawaa
ama ni sawa kumkosea Mungu wangu?….sawaa
nimtokee flani nimuache mke wangu?….sawaa
(VERSE3)
Uhuru hakuna/wanatuNASA ka Kalonzo,ushuru wa vina/nikiwachora ka vibonzo.
naskia hawana utu/cheki wanavyotoa michango.
kiswahili kitukuzwe/nitafika tu bila kimombo.
nikisema niache mziki/kuna watuu watalaumu.
wale madogo wa kiki/wataanza kujifahamu.
nina mashabiki/wanahamu nikitema sumu.
wakinipa pesa ya maziwa/kuniombea ili nidumu.
nikisema sijitumi/nani atanilipia
anaye niganyia sigara/si aje na dawa za pumu.
nani atalelea/wanangu nikienda chini.
ulezi ukimshinda wife/inamaana aanze kuzini.
shida imeniganda/imekuwa shida kuniacha mimi.
nawaRWANDA mpaka Burundi/hakuna mpizani.

room(u).

(Hook 1 and 2)

Outro
Produced by Nje Pro
Chorus backUps Idea Amos Kolle Amz Tempo.

 
UPCOMING EVENT PLAN NOT TO MISS.

Upcoming Event on 10th Dec in Changamwe.                

Full of anointing Gospel Family Day Fun set on 10th December 2017 at Faith Victory Church.    

For advertisement, Interviews, events, Birthdays etc call King’ori on     +254727600925

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *