Renown journalist Stephen Mwalili is among the few people who boldy don’t sugarcoat around anything but rather put things straight as it is.
In a long post on his Facebook page on recap to what happened a few days ago during Rashid Abdalla Tournament where majority of coastal known artists performed, Mwalili has come out breathing fire enlightening coast based artists on how well they’ve to package themselves.
With Examples, wit and solutions many in Comments have echoed his sentiments.

Here is what he had posted……

“Wasanii wa Mombasa- Coast acha sasa niwape elimu kidogo na muache kabisa hizo kelele zenu na kulia lia everytime msanii wa Bongo analetwa huku kupiga Show.

Kwa ile Event ya RASHID ABDALLAH SUPER CUP, mbali na MBOSSO from WCB who was the main artist kulikuwa pia na other Mombasa/Coast artists kwa line-up namely Dazlah, Chikuzee, Ally Mahaba na Echo 254 and they all performed on the same stage.

Now I challenge all of you here muende kwa Facebook na Instagram pages za hao wasanii wote niliowataja mtafute Professional Video Clips za kuonyesha performances za hiyo siku then mje hapa tuendelee.

When you check Mbosso’s Page utaona ametengeza clip Moja safi from Moi International Airport Mombasa akipokewa na traditional dancers, of which I was there personally.

From there you can see the convoy, msafara wa magari na Motorbike security ya Mombasa County all the way to Likoni Ferry hadi Waa Primary in Kwale, mbwembwe na fujo akipanda stage and the performance ya nguvu.

Wasanii wetu, apart from Dazlah ambaye kidogo naona amejitahidi kutengeza a 3 minutes clip of his performance of which I congratulate you for that, hao wengine wote ni shida tupu.

Ally Mahaba tried to upload a 30 second clip but ukiangalia video imejaa moshi utadhani ali-shoot na calculator ya Casio.

Chikuzee na Echo 254 ndio kabisa hakuna hata clip ya kusingiziwa, apart from few photos here and there.

My take, Wasanii wa Mombasa mnajiangusha wenyewe coz hamjui showbiz, na hivyo vitu vidogo mnavyopuuza ndio WCB na Wabongo wanazingatia na vinawaongezea dhamani.

Hivi niulize, Ally Mahaba na Chikuzee kama mko serious na music business mnashindwa kukodisha mtu wa camera akawatengezea clip Moja safi mkitoka home, mkifika venue, mkipanda stage, mki-perform, tena vile performance ya Chikuzee ilivyokuwa nzuri but it is nowhere to be found, so sad…

Na Echo 254, hivi management yako ya Kubwa Studios inashindwa kukukodishia camera ukatengeza clips the same ukachachisha online ukajiongezea mahali kiasi.

Ama kukodisha mtu wa camera for a day ni shilingi ngapi, ama Rashid Abdallah hakuwalipa.? May be mtuambie.

Coz hizi clips zina dhamani kubwa sana kwa mafans wanaofuatilia social media na zinachochea hata promoter mwingine akiona anataka kukuita kwa show yake due to how you package your craft.

Kuhusu ule msafara na security, mngekaa pamoja mkamwambia Rashid mapema kuwa nyinyi mnataka heshima yenu pia, mpewe msafara wa magari na Bodyguards and everything kuchangamsha Show and I believe Rashid angewafanyia if mngeongea na sauti moja, coz for Bongo artists vile vitu sio kuwa vinafanywa tu, they normally demand kufanyiwa, it’s called itinerary and it’s part of the agreement.

According to me Dazlah peke yake ndio Msanii wa Mombasa aliyejitahidi kuweka standards in that show, his stage performance na wale dancers especially kwa song ya Kidekide it was awesome na pia social media yake iliwaka vizuri, vile inafaa so let’s give him his flowers. 🔥

Kwa wasanii wengine, sisi tutaendelea kushabikia Bongo mpaka ile siku mtatia akili, coz wao wanatupatia Burudani both physical and online yaani hawaboeshi, na muwe watu wa kujifunza na sio kulalamika all the time eti mafans na industry haiwapi support.

Rashid Abdallah did his part akawapa opportunity, mafans did their part wakajitokeza but mnachemsha wenyewe for ignoring small small stuffs.” Posted Stephen Mwalili

https://www.facebook.com/100005945595313/posts/pfbid0fQwdLqUkJAJerE8iJaBFQamU1Wet1NSFCDV7Dd56gYtift46waAJoxJX4yfEGB5Nl/?app=fbl

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *