
21,278
Mc King'ori
PRESENTER: Host : Teens Connect, Lulu Drive. • MC • Content Creator • Social Media Manager • Events Manager • Chairman Kilta Group • C.e.o Gospel Concert • C.e.o www.omtiti.co.ke.
Mungu wa Gachagua (Riggy G) amefanya nini kwani?
Haki wakenya mnaubaya 😂😂
Nimesubiri ifike Jioni, Happy Birthday 🎈🎂 Kasee MCA Tricky Mungu akuongezee Baraka.
Kwenye maisha usimsimulie kila mtu yale ambayo Mungu amekupa. Baadhi ya nafsi zina maradhi, na baadhi ya macho ya watu yana sumu.
Tunakuja tamati ya #LuluDrive LULU FM RADIO
Congratulations 👏 🎉 again Pendo Karima na Karibu, Tunachangamka Naye ndani ya Lulu Drive Una Jambo lipi Kwake?
#kiongoziwaibada #McKingori