He is among the renown Hip Hop artists from Mombasa West (Jomvu Consttituency) with hit song —Mamaaa—– fighting for the less feminine making sure they get what belongs to ceaser as due value of their hard work. Controversially he is calling upon the community to stand with him pausing his life at risk since he has been speaking the truth and standing for the individuals claiming there are some governmental officials behind his life being taken away. Sir Black Joseph took this on his facebook profile claiming intimidation and promising that life will continue even if he gets eliminated. Here is what he wrote—- ”Mafans mimi bana maisha yangu nimekuwa kwenye utata na nashindwa sana kwa nini maisha yangu yako kwenye utata. Kuna viongozi wananitafuta jinsi ya kunimaliza na kwa sababu ya kusema ukweli yale maovu na mabaya yanayotendeka. Siku ya kwanza nilipouliziwa nilikaambiwa na mwenzangu mwendo wa saa nane nilikuwa na mwenzangu Ohms Law Montana nilivyoambiwa niliona labda kuulizwa na rafiki kumbe si rafiki ni adui wanaonitafuta jinsi kunimaliza. Nimekuwa nikitafuta ushauri kwa wazee na ata wazee wenzangu,nilikuwa siwezi lala na furaha nyumbani kwangu….Je hii ni haki kwa viongozi ambao uongozi wao ni duni kwa mimi yatima???
Kwa hivyo ni raha sana kwao kwa mama kupotea na baba kupotea ili waniangamize kukuwe kitupu bila ya mtu yeyote, naona changamoto sana katika maisha yangu ya kimziki na ni ngumu sana kuacha kipaji changu ambacho mungu amenibariki nacho na ninategemea mziki katika maisha yangu…nashauri viongozi twataka mimi kama msanii msiangalie maisha yenu angalieni maisha ya wananchi wanavyoteseka na viongozi sasa wamepotea miaka tano na sasa wamerudi kwa wananchi tena wanataka kura kwa wananchi…msitumiwe vijana wenzangu, mama zangu msitumiwe, babazangu msitumiwe,dadazangu msitumiwe na mpatie wanawake heshima maana bila wao hamngekuwa viongozi. Hakuna atakae kaa maisha duniani milele….Lazima utaonja mauti!!!! Itakuwa ni huzuni umeacha familia yako, na itakuwa huzuni ukiacha marafiki zako, itakuwa maandalizi yako ni pamba mdomo, pamba mapuani na hata sanda kukufatilia, adhabu. Viongozi mmezoea kuua wananchi sitaogopa mwanadamu ntaogopa mungu na hii ndo habari ninayowaambiwa wananchi maisha yangu yamo hatarini.”