Though from the audio Khalid wasn’t mentioned on the sexual abuse but the allegations against coastal producers seem to leave him speechless at first from what he penned down, but now more and more producers are stepping forward and making statements in response to growing pressure from the social media and their fans.
Khalid Produza |
The expose came about when Shaffie Weru received a call from a lady on live radio claiming to be an artist from the Mombasa entertainment industry, who claim that coastal producers have sexually preyed on her throughout in her search to be recorded of her music. But how beautiful is she to that extend? Amebeba nini huko nyuma? This still worries who she is.
The ladies revelations have brought the industry to a standstill as media figures demand responses from Producers she named if true it is or hearsay.
Khalid penned…….
”My take on yule dame alitaja ma producer.
1.Kwanza it’s very strange 24hrs later hakuna anayemjua ni nani. Mombasa ni ndogo, tunajuana. Rafiki yako ndio hadui wangu. Jirani wako ni school mate wangu etc. Studio zote zilizotajwa wasanii wake tunawajua, iweje huyu hakuna alietambua hata sauti?
2.Baada ya kuzunguka studio zote, nyimbo alizorekodi ziko wapi. Na kama alikuwa anatongozwa mbona hakuenda na kakake kwa session? Ni sadfa ya kivipi kuwa studio zote zilimtongoza? Kwani ana nini? Na kama ni mzuri sana mbona hakuna anayemjua kufikia sasa?
3.Kiss 100 haijafanyia interview ya simu ma star wetu Mombasa, iweje ifanyie msanii underground? Hivi umejiuliza amempataje shaffie weru wakaongea mpaka wakaelewana atampigia simu ampe interview?
Jibu ni hili…. Shaffie weru na wenzake wameanzisha Label ya ku sign wasanii. Msanii wa kwanza kumsign ni Otile Brown. I think bado wanambembeleza Timmy pia. Ile Kiki ya Timmy na Otile ni plan ya Shaffie. Shaffie ndio mtu anapenda controversy. He believes controversy sales. Yeye ndio alianza kupea airtime kina Vera Sidika. I think hata idea ya Mpasho ni yake au alichangia pakubwa…
Khalid Produza |
So, ni wazi kuwa huyu dame labda ametokea Mombasa, au ameishi Mombasa kidogo. Ni wazi kuwa, Shaffie amem sign so alitaka Kiki, ya kuwa Since Coast hakuna producers wa kufanya biashara, wacha basi amsaidie ampeleke Nairobi kwenye producers serious.
Observation yangu nyengine ni kuwa huyu dame haja rekodi nyimbo yeyote, wala hajawahi enda kwa hizo studio alizotaja. Aliuliza mtu akampa majina wakaamua kuyapaka tope.
Mombasa kumekuwa na drama nyingi sana, mbona Shaffie hajawahi kufanyia interview yeyote? Shaffie ametudhalilisha na kutukosea na Kiki zake. Wengine amewaharibia biashara… Kuna madem wapya wanaotaka kuingia kwa industry labda wameanza kuogopa. Kuna wamama wa kanisa labda wameanza kuogopa. Hata wenye madem zao ni wasanii na hawajui sana story za usanii, labda wanaweza kataza madem zao wasiende kwa studio zilizotajwa.
Sitamwambia Shaffie aombe msamaha, though ametukosea sana. Nikimu address nitakuwa naongeza petroli kwenye moto. Ili kuuwa hii story naomba tuinyamazie. Lakini tujue kwamba tumetumika vibaya.
Lakini jiulize mbona hakusema ametokea bara, japo kuwa yeye ni wa bara hata kama ameishi mombasa kidogo. Angetaja Nakuru, Eldoret etc Ni kwa sababu Mombasa tunajulikana kuwa ndio chimbuko La talanta, wasanii wenaojua kuimba. So, kumueka kwenye category ya kina Sudi Boy, Nyota Ndogo, Dazla etc basi lazima atokee Mombasa… On behalf of all producers tunakemea kitendo Cha Shaffie Weru kwa kutuharibia majina.”
For advertisement, Interviews, events, Birthdays etc call,Whatsapp King’ori on +254727600925 or click https://www.facebook.com/kingori.brian