NYOTA NDOGO is one of the legendary female artists in Mombasa and Kenya at large, who has kept morals and societal ethics serve its best that has guided her good behavior to date.
She has since tried to protect the good image of female artists on a post posted by PRODUZA KHALID following feud in Tanzania between a renown personality with big female artists who have made a name and a brand to themselves.
star Nyota ndogo |
Here is part of the post of Produza Khalid with NYOTA NDOGO commenting.
”Swali langu ni hili, je tunajifundisha nini kwenye hii sakata nzima kuhusiana na wanamziki wa kike…? Je, ni sawa kwao kulala na Ruge baada ya kuahidiwa promo ukitilia maanani mziki ulivyo mgumu…? Je, ni sawa kwa wanaume ku take advantage ya wasanii wa kike…?
Hivi unaona suluhisho ni nini…? Kule Nairobi najua msanii wa kike alilala na presenter na akotoka. Lakini presenter huyo huyo amelala na wasanii wengine chipukizi na akawaahidi promo mpaka wawe ma star. Lakini mpaka leo wadada hao wapo kitaa na asilimia kubwa iliwacha mziki sababu ya frustrations….
Hivi unaelewa ni changamoto gani wanazopitia wanadada kwenye mziki…?”
The comments streamed as follows with the replies…….
READ ALSO… “NI Mungu Tu” Coastal artist J.R.G SHESHE to be hosted on kbc tv this friday for his video LAUNCH.
Nyota Ndogo Nielsen Kwakweli inasikitisha sana.ila mimi ruge amenisaidia sana Khalid Produza ndio alienifanya nikahit tz sana na hakuwai kunitongoza haimaanishi kua mybe sura yangu ni mbaya sana mbaka asingenitongoza but vile nilivyojichukua.yani ruge aliwai kuniita niongee na linah wakati lina anaingia THT akiwa mschana wa kanisa kwa heshima niliokua nayo kwakwe.hakuwai kunilala wala kunitongoza wala kuonyesha dalili za kunitaka…………kwakweli ni wewe mschana mwenyewe
Nyota during a past interview show with Willy Mtuva. |
Khalid Produza Nyota Ndogo Nielsen nafikiri kila shetani na mbuyu wake… Hakuna mtu mbaya kabisa. Kila mtu huwa anachembechembe za utu…
Lakini ukweli ni kuwa Ruge amesaidia sana kutoka kwa wasanii wa kike Tz, na kujenga na kuinua vipaji vingi tu. Na mchango wake Tanzania hauna mfano. sema tu hii scandal imemshusha
Nyota Ndogo Nielsen Kweli imemshusha but kumbuka ruge hatapungukiwa na kitu.siku mbili na kipande watu watasahau but kwa wanawake waliolala nae itawasumbua miaka yote.mwanamune nirahisi kuepuka kitu but wanawake unaangaliwa nivyengine na hio kutoka ni ngumu
Khalid Produza Hapo ni kweli… Wanawake ndio huumia… Poleni jamani
Nyota Ndogo Nielsen Khalid Produza tusifanye uzembe tukalaumu mapromota na maproducer.
Other Comments…..
Hon King’ori Too lengthy and ni swala nzito ila langu ni kuwa kila mtu ana rizki yake ukizingatia *Nyota* zao. ² ikiwa walilala kwa kutumia mpira basi hongera manaake haijajinakili popote, ³, Sanaa bila hizi vijimambo si sanaa!!!!
Zungu Dancer That’s true bro… Wanawake wana mitihani sana… Hasa kitambo wapate mafanikio watakuwa wamepitia kila aina ya majaribu. #Mungu awalinde dada zetu.
Nyota with Radio Jambo presenter. #past |
Flozzy Rughendo wasanii wa kike wana mtihani mgumu ila tu wakijua thamani ya miili yao na kumuweka Mungu mbele watafanikiwa. ni wangapi nnaowajua waliolalwa na maproducer jst in the name of kutaka kuwa mastar na bado hawajafika popote. so si lazima kujipeana ili kupenya.
Kalunda Mackntosh babangu aliniambia kua “katika maisha yako mwanangu usiuze UTU wako kwa ajili ya kitu.”wengi watumika kimapenzi ili kukidhi haja zao tu wala si kwa faida yako wewe.
YD Pablo Wasanii wa kike ndo wenye makosa,kivipi wanakubali,your statements are straight and clear sio eti wanabakwa.wanakubali wenyewe.sasa basi wao ndo wanataka makubwa halafu wanabadilishiwa mkataba,N.B pia Mwasiti ni msanii mkongwe wa THT.#MtazamoTu
#254Mombasani, hello reader leave a comment on your take if its true female artists have fallen prey to the entertainment stakeholders in order to make it in life.
For advertisement, Interviews, events, Birthdays etc call in on +254727600925