”………………Nilikua naonelea atafutwe atwangwe makofi alafu afanyishwe mziki lazima. Ama mwasemaje my friends?” posted Deo Kolle.
Amoury has collaborated with a couple of artists such as Madee, Lady-b, Dogo Aslay, Kenrazy, Tmk, Temba, Mb-dog among others.
Concerned followers and entertainment stakeholders never hesitated to pour out their worries in the comment box as follows,
READ MORE…..001Mombasa!!! Mama Zamzam- Why she is still fresh for 2022 Win for the Women Rep seat against all Odds.
a pekee ni HitName ndio maana wengi wanajituma wanaachia patupu hakuna hits…hawaelewi hawajui niliyopanga kadri Amoury alivyo na watu muhimu mbona hatumuelewi Shirko pale Guy G Vid Produzza kule kisha the Biggest Promota Big Boss Matoo aka Martin Samir Muithya yuko ubavuni alichopanga kipi huyu kijana…hayo nitawajuza baada ya hizi Comments zikiisha..kwa sasaah tusomeni comments na tumsapotini hichi kipaji chetu kipya kinachosumbua East Africa Mhindi wa pwani Ally Mahaba. https://youtu.be/odceFZDzP9A.
??haha brouwh kiukweli nimefwatilia kwa kina nikaskia nimerogwa wajua hii ndio excuse yetu wasanii wa Mombasa ?…nasubiri comments ziishe nijibu kwa kina na ufasa vile inavyostahili…wajua kitu kimoja kwa sanaah mimi ndio Artist001 hilo jin
Jesbcrazy Contacting Amoury through call he had promised to make a comeback with an explosive bang of a hit to the airwaves.
Launch coming soon…… JESBCRAZY.CO.KE