Manu BayazManu Bayaz during a past event.

 

Katika ulimwengu wa mziki, kila msanii huwa na ndoto ya kufikia hadhi kubwa, lakini kwa Manu Bayaz, ndoto hii imetimia kweli.

Manu Bayaz amefanya historia Wimbo wake maarufu, “Nijeri Yo Stori,” umefikia milioni moja ya

Screengrab from youtube.

watazamaji kwenye YouTube. Akisherehekea hatua hii, Bayaz alifika kwenye ukurasa wake wa Facebook akiambatanisha screenshot ya video hio na kusema,

6yrs later, nijeri yo stori imehit 1m views, asanteni kwa support yenu mashabiki wangu Mungu awabariki sana na kuanzia leo naiboresha nzele na kuiita #NZELE FLEVA. Zawadi kubwa nnyowaahidi ni kuachia video nyengine mwezi ujao November na naamini itafika 1m kwa muda mfupi kuliko hii, #nzeleflevakileleni

Aliweka wazi kwamba ataboresha muziki wake na kuuita #NZELE FLEVA. “Zawadi kubwa niliyoahidi ni kuachia video nyingine mwezi ujao, Novemba, na naamini itafika 1m kwa muda mfupi kuliko hii,” aliongeza.

Bayaz anajulikana kwa nyimbo zinazoelezea maisha halisi, na “Nijeri Yo Stori” imemgusa wengi. Huu ni mwanzo wa sura mpya kwake, na tunatarajia mambo makubwa zaidi.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *